Hapana, tuna huduma zingine kama: Meno,Mifupa,Matibabu ya watoto, Kiliniki ya figo, Kliniki ya ngozi,Kliniki ya macho na duka la miwani, Huduma za maabara,Matibabu ya akina mama na uzazi,Kliniki za watoto,Daktari wa magonjwa ya ndani,Huduma za utengamao